Special and Supplementary Examinations Timetable 2025
Angalia ratiba kwa umakini
Zingatia
1. Endapo unafanya Special kwa Sababu za Ada na Michango hakikisha umelipa kabla ya tarehe ya mitihani
2. Endapo unafanya Special kwa ugonjwa ama dharura nyingine fika na barua yako ya majibu
Zingatia sheria kanuni na taratibu za mitihani wakati wote